top of page

Welcome!
Kwaya ya Mtakatifu Sicilia inatoa huduma ya uinjilishaji kwa watu wote ili wamujuwe Mungu.
KARIBU KWAYA YA
MTAKATIFU CESILIA
Kwaya ya Mtakatifu Cesilia inapatikana jimbo la Shinyanga parokiya ya Bugisi-Didia.
Phone: +2557670583
Email: mtakatifucesiliabugisi@gmail.com
JOIN US
Daima tunatafuta talanta mpya. Wasiliana nasi ili tuweze kulitangaza neno la Mungu kwa njiya ya nyimbo.
Shukrani
Mungu awa bariki wote, Amina
bottom of page